Maswali yanayoulizwa mara kwa mara kuhusu RAUDHWA Modern Islamic Schools
Swali
Najiungaje na Shule ya Raudhwa?
Karibu sana, Unaweza kujiunga na Shule ya Raudhwa kwa kupakua fomu ya kujiunga au kujaza fomu online kwenye tovuti yetu. Mchakato huo utahusisha malipo ya ada ya fomu kiasi cha Shilingi 20,000/= tu.